Mnyika apanda daladala!


we mjamaa una matatizo ya akili au?
 
MAGAMBA acheni majungu bac, posho anayochukua Mnyika ile ni haki yake kwa kazi anayofanya Bungeni, huwezi fananisha na GAMBAZI KOMBA.
 
Bila kuwa karibu na wananchi hauwezi kujua matatizo yanayo wasibu.kila mwenye akiri timamu lazima atakubali kuwa mnyika alikuwa sawa mno kwa kitendo kile.
 
Anajua ipo siku maisha yatageuka atarudi huku uraiani, kwa hiyo mwacheni afanye hivyo
 
we mjamaa una matatizo ya akili au?

Hapana sio kwamba ana matatizo ya akili ni kweli alichosema, na mimi naongezea alichofanya mnyika ni fake, hayo sio maisha yake ya kila siku ametuzuga tu wananchi tuone tuko naye, mi ningemkubali zaidi lile cruzer lake angelikodisha/angeliuza na hela akapeleka kwenye maendeleo halaf yeye angekuwa anakula basi kila siku na tuwe tunakutana pale ubungo anapoenda bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…