Mnyika amuweka Maghembe kitanzini

Mnyika amuweka Maghembe kitanzini

nyabibuye

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
83
Reaction score
16
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika, amemuweka katika wakati mgumu Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, baada ya kutoa hadharani namba ya simu ya waziri huyo ili wananchi wamuulize ni lini atatekeleza ahadi ya kuwapatia huduma ya maji wananchi wa jimbo hilo.

Mnyika alitoa namba ya simu ya Profesa Maghembe na Naibu wake, Dk. Binillith Mahenge, wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Goba mwisho na kuwataka wananchi kuwauliza viongozi hao wakuu wa Wizara ya Maji ni lini watapatiwa huduma ya maji ambayo imekosekana kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

Mnyika alisema Profesa Maghembe akihututubia wananchi hao aliwapa namba ya simu ‘feki' na kwamba alifanya hivyo kutokana na kuwadharau.

Februari 17 mwaka huu, Profesa Maghembe akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Goba mwisho alikaririwa akisema kwamba huduma ya maji ingeanza kupatikana Februari 20, mwaka huu, lakini hadi kufikia juzi ahadi hiyo haijatekelezwa.

Profesa Maghembe alikaririwa akisema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiyo ina funguo za kufungua maji ama kuyafunga na kuwataka wananchi wa Kata ya Goba kumuamini kwamba Februari 20, mwaka huu wangepata maji.

Mnyika alisema ni aibu kwa Waziri akiwa na viongozi wa kitaifa wa CCM kutoa ahadi hewa na kwamba ataongoza maandamano makubwa ya wananchi wa jimbo lake kuvamia ofisi za Profesa Maghembe kwenda kudai maji.

Aliwaambia wananchi wa Goba kukubali kuungana na wenzao wa maeneo mengine katika jimbo hilo Machi 16, mwaka huu kwenda wizarani kwa Profesa Maghembe kudai huduma ya maji.
Alisema wananchi wa Jimbo la Ubungo wana haki ya kupatiwa huduma ya maji na kuitaka serikali iache mchezo wa kuwadharau kwa kuwapa ahadi hewa na za uongo.

"Profesa mzima kama Maghembe hawezi kuja mbele za wananchi wenye akili zao timamu na kusema Jumatano ijayo maji yatatoka yaani (Februari 20) huku akijua ni ahadi hewa, hii ni aibu kubwa kwa serikali ya CCM," alisema Mnyika, ambaye katika Mkutano wa 10 wa Bunge aliwasilisha hoja binafsi akitaka serikali iboreshe huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam, lakini hoja hiyo iliondolewa baada Profesa Maghembe kuifanyia mabadiliko ili isijadiliwe na Bunge.

Alisema tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji linatokana na serikali kushindwa kuwa wabunifu na badala yake wameshindwa kuboresha miundombinu iliyokuwapo tangu nchi ipate uhuru mpaka sasa.

Kwa mujibu wa Mnyika, ili eneo la Goba lipate huduma ya maji, ni lazima serikali ikubali kutumia kodi za wananchi kubadilisha mabomba yaliyowekwa zamani na kuweka mapya yenye ukubwa.

Tangu alipochaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010, Mnyika amekuwa akitumia muda wake mwingi kushughulikia kero ya maji katika jimbo hilo.

Mara kadhaa amekuwa akiwaongoza wapiga kura wake kuwashinikiza viongozi wa serikali kuhakikisha kuwa wanapatiwa maji.

Mwaka jana Mnyika aliwaongoza wapigakura wake takribani 200 kwenda makao makuu ya ofisi za Kampuni ya Majisafi na Majitaka (DAWASCO) kudai maji.

Kutokana na mamlaka husika kushindwa kushughulikia tatizo hilo, mwaka jana Mnyika aliwasilisha malalamiko kwa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora akilalamikia wananchi wake kunyimwa haki ya kupata maji.

Hatua ya Mnyika kutoa namba za simu za Waziri Maghembe na Naibu wake ni mfululizo wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoa namba za viongozi wandamizi wa serikali kwa wananchi ili wawashinikize.

Baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 10 wa Bunge, viongozi wa chama hicho walifanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Temeke Mwisho, jijini Dar es Salaam na kutoa hadharani namba za Spika wa Bunge, Anne Makinda, na Naibu wake, Job Ndugai.

Viongozi hao waliwataka wananchi kuwapigia simu Makinda na Ndugai kuwashinikiza wajiuzulu kwa madai ya kushindwa kuliendesha Bunge kutokana na kukipendelea CCM na kuukandamizi upinzani.

Makinda na Ndugai baada ya namba zao za simu kuwekwa hadharani walipata wakati mgumu kutoka kwa wananchi ambao waliwatumia ujumbe mfupi wa simu (sms) na nyingine ukidaiwa kuwa ulikuwa wa matusi.

Inadaiwa kuwa Makinda alipokea simu na sms takribani 600 huku Ndugai naye akithibitisha kupigiwa simu nyingi na sms za kumtukana.
CHANZO: NIPASHE
 
wapi namba ya profesa avache nimpigie niongee nae kipare labda atanielewa....
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1132.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Prof. Jumanne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Abdallah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Maghembe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mwanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9192, Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 034 888
+255 786 034 888
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmaghembe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 January 1970[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1132.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Prof. Jumanne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Abdallah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Maghembe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mwanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9192, Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 034 888
+255 786 034 888
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmaghembe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 January 1970[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Hiyo date of birth vipi tena? au ndio uchakachuaji?
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%"]Member picture
1132.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Prof. Jumanne
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Abdallah
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Maghembe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]Mwanga
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]P.O. Box 9192, Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 784 034 888
+255 786 034 888

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]jmaghembe@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]1 January 1970
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Hapo ndipo Bi mkora anaponimalizaga na team yake kwenye records zao. Ni ngumu kuamini kwamba huyu mzee alianza kusoma kabla ya kuzaliwa jamani. Ki ukweli kunimbia huyu dingi kazaliwa 1970 si vituko hivi? Imbombo ngafu kwa kweli.
 
wapi namba ya profesa avache nimpigie niongee nae kipare labda atanielewa....

mkuu tusaidie maana ukimpinga kipare ninauhakika atajua maana elimu tu haijamkomboa kabisa huyu mzee
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1132.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Prof. Jumanne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Abdallah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Maghembe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mwanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9192, Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 034 888
+255 786 034 888
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmaghembe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]1 January 1970
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


hapo kwenye bluu ndipo ccm wanaponiachaga hoi kwa kuchakachua!yani huyu mzee awe umri sawa na p.diddy?
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1132.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Prof. Jumanne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Abdallah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Maghembe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mwanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9192, Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 034 888
+255 786 034 888
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmaghembe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 January 1970[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Ngoja nimtwangie simu huyu jamaa nimwambie alete maji haraka vinginevyo atuachie ofisi ya umma wenye uwezo wawajibike.
 
Yaani mzee Maghembe ana miaka 43,
TANZANIA IS THE GREATEST NATION IN THE WORLD!
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1132.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Prof. Jumanne
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Abdallah
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Maghembe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]Mwanga
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]P.O. Box 9192, Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 784 034 888
+255 786 034 888

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]jmaghembe@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]1 January 1970
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Hapo kwenye red hapo, pako sawa kweli wajameni?????
 
wapi namba ya profesa avache nimpigie niongee nae kipare labda atanielewa....



0786-034888 PROF MAGEMBE NA 0713-335733 MAHENGE

Tunataka maji,tunataka maji,tunataka maji,tunataka maji...................................................?
 
Kumbe Prof Maghembe bado yanki kabisa....

Nahisi ameshusha umri makusudi huyu mzee maana wazee wa CCM wako radhi kufanya kazi milele.
 
We Maghembe kweli ulizaliwa 1970? Hata kama walikosea ina maana hujaona mpaka leo? Umekuwa mbunge kwa muda gani sasa? Kwa mtindo huu maji hatatukaa tuyaone mdogo wangu Mnyika pole sana kwa kuhangaika na watu wa aina hii. waongo mno!!
 
Kwa leo nimeshatuma sms mbili,bado baadae na kesho na kuendelea mpaka nione maji yanatoka"
 
Back
Top Bottom