geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.
Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.
Naomba kuisha hapa.
Unaanzisha process ya kumpokea mtu usiye weza kushare naye chama!
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA
Hao mafisadi wapo wangapi?hivi kati ya upande huu na huu mwingine wapi kunamafisadi wengi?Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.
Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.
Yaani Samson ni CHADEMA, Delillah ni Lowassa na nywele za Samson ni MAADILI YALIYOFANYA CHADEMA IKAWA CHADEMA!Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.
Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.
Naomba kuisha hapa.
Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.
Inawezekana una matatizo ya kumbukumbu hivyo sintokulaumu moja kwa moja kwa kudai kuwa CCM haijawahi kumuita LOWASSA fisadi,,nadhani huna kumbukumbu kabisa ya maneno ya Mwalimu Nyerere ya mwaka 1995 ndani ya Halmashauri kuu ya CCM..achilia mbali maneno ya NAPE aliyopita kuyasema nchi nzima for past 4 years.
Hapa ndipo mimi nashindwa kuelewa kabisa, Lowasa hajawahi kufanya shughuli nyingine toka ujana wake mbali na siasa na uongozi katika chama na serkali ya CCM. Huyu ni zao kamilifu la CCM kusema leo Lowassa ni fisadi papa katika umri alio nao ni kuthibitisha kuwa CCM ni mtambo maalum wa kuzalisha mafisadi na ufisadi. CCM basi ndio mtuhumiwa no 1 wa huo ufisadi maana ndio kiwanda. Huwezi kuwa CCM ukawa na authority yoyote ya kukemea au kuusema ufisadi maana umekanyaga katika territory ya ufisadi. Kama Lowasa ni fisadi papa je huko alikozaliwa na kulelewa tupaiteje?
Angalau basi Lowasa fisadi papa amejitambua akatoka ndani ya hicho kiwanda kilichomtengeza. Sasa yuko nje ya hicho kiwanda, lakini waliomo wanaendelea kuchongwa na kuandaliwa ili wawe mafisadi!! Kumtukuna Lowasa kwa ufisadi ni kuitukana CCM maana Lowasa ni mtoto wa CCM. Hata mzee Mwinyi alithibitisha siku ya uzinduzi wa kampeini za CCM Jangwani kuwa hawa ni watu wetu kabisa. Sasa kama Lowasaa ni mbovu mfumo uliomtengeneza ni mbovu, CCM ni mbovu kwa nini kuing'ang'ania?
Na hapa Watanzania wengi tunaposikia kelele za wana CCM juu ya ufisadi wa lOWASSA mlioshindwa kuusema kwa miaka yote ndipo tunaona unafiki mkubwa na kusema basi kumbe kuna haja ya kufanya MABADILIKO
Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.
Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.
Naomba kuisha hapa.
Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.
wewe ndio akili yako ovyo kabisa. kama huwezi kuona kama chadema imeuzwa na mbowe ndio maana mkapa kawaita ile mameno 'wapumbavu'. hata bei gani cdm imeuzwa sio siri. unazi wenu labda ni ukabila udini..haieleweki!Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA