...Na wanafunzi wa chuo kikuu eeeh? mtajibeba kwa uropokaji na uzandiki mwaka huu. Mmeshikwa pabaya na Nchemba
nimeipenda sana hiiii........JOHN MNYIKA, you are good young Politician, kasoro yako moja kubwa ni kwamba unapochangia hoja ONDOA MAWAZO KICHWANI KUWA KUNA CAMERA ZINAKUCHUKUA NA WANANCHI WANAKUTAZAMA LIVE! mbaya ni kwamba hakuna ku-edit picha ikichukuliwa maana iko hewani in advance. I was like that before wakati wangu, nilibadilika baada ya kukubali macho ya watu, kwa hilo la NCHEMBA insnt a big deal, lakini ukiendelea hivyo bila kukubali kukosolewa yatakukuta. Nakumbuka Rev. Mtikila alikosa ushahidi mahakamani wa maneno yake kuwa Baba wa Taifa hakuwa Raia, aiseee alipoambiwa utakwenda Jela Mwaka mmoja, Nilimwona mzee wa watu alianza kuvuja jasho na aliomba maji ya kunywa, baada ya kumpatia maji aliomba kwenda haja kubwa, alichombiwa ni kwamba huruhusiwi tena kujisaidia katika choo cha kawaida na badala yake ibane haja yako kwa ajili ya kwenda kujisitiri kwenye ndoo ukonga, maana hii ndo utaratibu wa mfungwa. Watch your tongue dear MP
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Nimeipenda hii mkuu "system at work"
ohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.
Wakati tukiendelea kusubiri ushahidi wa mnyika, mi bado na muons huyu dogo Kama mtu alolewa sifa na matokeo yake anapitiliza.Haraka na mapepe ya nini? Tulizeni munkari enyi vibaraka wa nape mnaokubali kuwa watumwa wa fikra. Huyo Mwigulu mnayemtetea jasho la masaburi linamtoka coz he knows very well who is John Mnyika. Mawaziri wote wanakiri kuwa Mnyika ni makini kuliko mbunge yeyote wa ccm. Mnyika siyo mtu wa kukurupuka hata kidogo.
Cdm kuna majembe ya ukweli. Yule kilaza wa Cuf jana anasimama na kumkashifu Mbowe. hivi huyo msomi prof. Na Mbowe ni nani mwenye mafanikio kiutendaji na Kiuongozi? Shame on you.