Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 872
Je waweza nipa link ambapo nitaiona hiyo CV ili nilinganisha na swifa anazo lundikiwa.
Jamani hata Kama kusema swifa Ndio Kiswahili fasaha, lakini Sote tunatumia sifa, wewe wajua na sote twajua, sasa acha kuandika misamiati inayochosha Kama hii....pia mpigie simu Huyu Mnyika umuulize kwanini anasifiwa? Na Kama watu wanampenda kwa utendaji wake na wakamsifia wewe unahoji kipi ? The people of Ubungo have spoken ....and voted for him, so did some people Tanga kule wakamchagua maji marefu, sasa basi tujadili Kama anatuwakilisha vyema au amelewa hizi sifa...