Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake...

Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake...

Lua

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
704
Reaction score
305
Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake kwa speed zaidi kwani baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madaraja yafuatayo, daraja la golani- msewe njia ya chuo kikuu, daraja la msewe ambalo kwa sasa wanaliita daraja la mnyika, daraja la golani nalo wananchi wanaliita daraja la mnyika kutoka lilikua ni tatizo kubwa kwa wakazi wa kimara suka na la muda mrefu, sasa limekamilika, daraja la matosa, daraja goba-makongo, daraja la mbezi shule ya msingi na mengineyo, kwa upande wa barabara ya manzese midizini inaendelea na ujenzi, barabara ya manzese chakula bora imekamilika na nyinginezo.

Na wiki iliyopita diwani wa kata ya saranga (chadema) Ephraim Kinyafu amepokea barua ya utambulisho wa mkandarasi atakaeanza ujenzi wa barabara ya king'ongo yenye urefu wa (km 3.8).

Bado anaendelea kusukuma katika ngazi ya manispaa, mkoa na hata taifa ili kuhakikisha anakamilisha ahadi zake kwa asilimia 99.9

attachment.php
 
Attachments

  • bara.jpg
    bara.jpg
    409.8 KB · Views: 780
  • maji.jpg
    maji.jpg
    340.3 KB · Views: 106
Maji ya mchina amechemsha kuyapigania?
fanya utafiti kwa wakazi wa ubungo wakwambie hali ya upatikanaji wa maji wa ubungo kwa sasa na awali walipokua wakina keenja ikoje? yote haya ni juhudi zake na bado anaendelea kuisukuma serikali hadi tatizo la maji liwe limekwisha kabisa na uzuri wake kwa mwaka huu imetengwa zaidi 10b kwa ajili ya ujenzi wa mabwawa ya kidunda na mpera kwa ajili ya wakazi wa ubungo.
 
Hapo tunaenda sawa sio kuleta habari za hatuna serikali. Tutamhukumu kwa haya sio muongozo wa spika.
 
Hii serikali ni lazima uichape ndio inasikia, so mnyika hataacha kuichapa na bado ahadi zake wanatekeleza, kama vile fidia ya wakazi wa ubungo maziwa ambayo ni ya toka mwaka 2005 lakini mwaka huu wametenga 10b kwa ajili ya fidia ya wakazi hao na hii baada ya kuwabasti wakati wanawahamisha wafanyabiashara wa ubungo kwa madai wapo eneo hatarishi wakati kuna wakazi wa ubungo wapo eneo hatarishi na hawajalipwa fidia zao.

Fedha tena imetengwa kwa wakazi wa kimara baruti walikuwa eneo la kiwanda cha twiga chemical ni eneo la kiwanja ambao nao wanalipwa fidia baada ya kuwabasti, na wakazi wa makoka ambapo barabara ni mbovu sana na tataizo lilikua kwa kulipwa fidia kwa wakazi tisa hilo nalo suluhisho tayari limeshapatikana kwani wameshalipwa na limebaki salio la kiasi cha 64m ambapo ipo katika hatua ya mwisho ya kuwaandikia voucher ili wahame na barabara ianze kujengwa kwani tayari imeshatengewa kiasi cha sh. 101m.
 
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
 
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
mbona hayakujengwa wakati wa keenja au amiri jeshi mkuu alikua anasubili hadi mnyika awe mbunge ndio ajenge?
 
mbona hayakujengwa wakati wa keenja au amiri jeshi mkuu alikua anasubili hadi mnyika awe mbunge ndio ajenge?
kaka mwnmke hapati mimba bila kupndwa na mme,vivyo hivyo kwa gvmnt ya magamba....keenja alishndwa...mnyka kidme cha seeds
 
I grant respect to him kama asingeongea nothing ingefanyika
 
Viva chadema viva mnyika nasubiri kwa hamu ujenzi wa barabara za mbezi kimara to mbezi beach kupitia gopa na ile ya mbezi kimara tu airport kupita kurasini kwa kiwango cha lami ninaamini zitasaidia kwa wingi kupunguza foleni zisizo za lazima
 
hilo haina shaka bado analisukuma hadi wajenge kwa kiwango cha lami kwa sasa wametenga kiasi cha 10b ambayo ni sawa na km 10 hadi 15 kwa ujenzi wa kitanzania wakati barabara zote za pembezoni kwa jimbo la ubungo zipo km 96 so inahitaji almost kiasi cha 100b. ndicho kwa sasa anapigania.
 
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK

ndani ya miaka hamsini ndo ya jengwe chni ya ukali wa mnyika? Kulikuwa kuna nini mwanzo. Ha ha ha ha ha ha!
 
Serikali ya CCM ni kama mkasi bila kushikwa nyuma haijafanya kazi,kamanda mnyika endelea kuishika nyuma ukamilishe ahadi zako 100%.
 
mbona hayakujengwa wakati wa keenja au amiri jeshi mkuu alikua anasubili hadi mnyika awe mbunge ndio ajenge?
Kila jambo na wakati wake nchi yetu ni kubwa sana
 
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
Huyo amir jeshi wako mpaka tumtie bakora ndo anafanya...na bado atakula nyingi mpaka "ajam....e"
 
Kila jambo na wakati wake nchi yetu ni kubwa sana
mbona hausemi na rasilimali ni nyingi sana. na kwa zungu, azzan, mtemvu na mwaiposa kuna nini amefanya amina jeshi mkuu.
 
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK

Acha sifa zako, haya yanafanywa na halmashauri, na alimashauri inafanya kutokana na napendekezo ya madiwani husika wa eneo hilo na nyika anaingia alimashauri kama diwani, kwa hiyo asipokuwepo mtu anayejuwa matatizo ya watu wake ujuwe hakunakitachofanyika.

Na Mbunge na DIWANI wanaahidi kuleta maendelea akijuwa anaouwezo wa kutambuwa matatizo ya watu wake na kuyadai kutoka serikali kuu na halmashauri.

Kama amefanikiwa kuyafanya hayo asifiwe nani? kama sio yeye mbunge au diwani?

BIG UP MBUNGE WANGU!!!!!!!!!
 
Tuliwaambia akina Ritz tuachieni mbunge wetu. Hatutaki mafisadi ubungo. Mnyika anatufaa sisi.
 
Back
Top Bottom