Mnyika adai wanajeshi wamechoma, kubomoa nyumba za wananchi Dar

Hii ishu jeshi limehusikaje kwani hao watu wamevamia kambi yao au reli siku hizi ni mipaka ya nchi hadi wanajeshi wailinde
Haya ndio matatizo ya taarifa za siku hizi, maana zinatolewa nusunusu tu. Uhusika wa jeshi hapa haueleweki kabisa!
 
Mnyika acha hizo Mimi nilikuwa na eneo Tondoroni fidia ilishalipwa kitambo kwa ajili ya matumizi ya jeshi siku nyingi watu matapeli wakauzia watu wengine Jeshi linataka eneo lao .Hao waliopo walinunua maeneo hayo ya Jeshi kwa matapeli wahusika walikwisha lipwa fidia siku nyingi wakasepa matapeli wakaanza kuuzia maeneo watu wengine.Hao waliopo wako kiharamu eneo Hilo likiwemo la tondoroni
 
Hilo tukio ni kweli mimi nakaa kibamba wamekata mipapai na kuvunja nyumba kabisaa, nashindwa kuweka hiyo video hapa lakini ninayo na imekatwa kweli
 
Mnyika acha hizo Mimi nilikuwa na eneo Tondoroni fidia ilishalipwa kitambo kwa ajili ya matumizi ya jeshi siku nyingi watu matapeli wakauzia watu wengine Jeshi linataka eneo lao .Hao waliopo walinunua maeneo hayo ya Jeshi kwa matapeli wahusika walikwisha lipwa fidia siku nyingi wakasepa matapeli wakaanza kuuzia maeneo watu wengine.Hao waliopo wako kiharamu eneo Hilo likiwemo la tondoroni
Shida busara ilitakiwa kutumika pale mkuu,mbona tanesco tulipokuwa tunalima chini ya waya hawakukata walitaarifu wananchi wavune yiliyopo shambani kisha wasipande tena.Busara na hekima ni jambo jema sana kwa ustawi ya jamii yetu.
 
Nguvu kubwa sana imetumika wakati ilikuwa inahitajika busara zaidi sijui kwanini iko hivi.
 
Shida busara ilitakiwa kutumika pale mkuu,mbona tanesco tulipokuwa tunalima chini ya waya hawakukata walitaarifu wananchi wavune yiliyopo shambani kisha wasipande tena.Busara na hekima ni jambo jema sana kwa ustawi ya jamii yetu.
Sidhani pesa za fidia zilikuwa nyingi mno Kila aliyelipwa fidia aliondoka kimya kimya nikiwemo Mimi hao matapeli Jeshi litajuana nao na hao walionunua kwa matapeli shauri yao
 
Back
Top Bottom