Mnyika adai wanajeshi wamechoma, kubomoa nyumba za wananchi Dar

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,602
Points
2,000

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,602 2,000
Dodoma. Mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika amesema mamia ya wakazi wa mitaa ya Mlongazila na Kisokwa jijini Dar es Salaam wanalala nje kutokana na wanajeshi kuchoma moto na kubomoa nyumba zao.

Mnyika ameomba mwongozo bungeni leo Ijumaa Mei 3 kwa kutumia kanuni ya 47 akiomba idhini ya kutoa hoja juu ya jambo la dharura lenye maslahi kwa umma.

“Kuanzia jana katika mtaa wa Kisokwa na Mlongazila mitaa ambayo inabishaniwa kati ya manispaa ya Ubungo na Kisarawe iko upande upi kumetokea jambo lililofanywa na Jeshi la Wananchi (JWTZ),” amesema.

Amesema tukio hilo limehusisha kuchoma moto na kuvunja nyumba za wananchi na kwamba kuna wananchi ambao wamelala nje ya nyumba.

“Sasa jambo hilo ni la dharura kwa sababu ya bomoabomoa hiyo na uchomaji wa nyumba bado unaendelea hivi sasa wananchi wanaendelea kuathirika,” amesema Mnyika.

Amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza kusitishwa kwa bomoabomoa na uchomaji wa nyumba na kuwatuma mawaziri watatu kutatua mgogoro huo.

Amewataja mawaziri watakaounda timu hiyo kuwa ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi; Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi ka Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi.

Amesema hakukuwa na mgogoro kati ya wananchi na JWTZ lakini kulikuwa ulipaji wa fidia ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR).

Amesema tayari tathimini ya mali hizo ilishafanyika lakini wakati wakisubiri kulipwa fidia kumetokea uvamizi huo.

Hata hivyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema jambo hilo ndiyo Serikali imelipata na kwamba kwakuwa anasema inahusisha wizara tatu anaomba waachiwe muda waweze kufuatilia.

“Mjadala hapa ndani utatulazimu Serikali tuweze kutoa majibu yetu ni lazima tuwe katika position (nafasi) kulifahamu vizuri na kulitolea ufafanuzi. Tunaomba utuachie tufuatilie na kujua kiini na kama utaona inakupendeza tutakurudishia majibu,” amesema.

Akijibu mwongozo huo, Spika Job Ndugai amesema kwa uhakika ndiyo wanasikia jambo hilo na hivyo ni vyema Serikali kuachiwa iweze kulitolea ufafanuzi.

“Ni vizuri tuwaachie wenzetu kwa mapendekezo uliyoyatoa ili waweze kuyafanyia kazi kwa wakati muafaka tutaona way forward ya jambo hili ya namna ya kwenda nalo lakini tumelipokea kama meza,” amesema Ndugai.
 
bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
241
Points
250

bCg

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
241 250
Tatizo in mfumo wa udahili wa hao watu na wengi wa viongozi selikalini! unatumika ulangi huu zaidi!!?? Unadhani kinachofuata ni nini??? Mwaka Jana watendaji kata wameajiriwa kwa kigezo cha kumiliki kadi ya kijani yenye alama ya jembe na nyundo.
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,041
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,041 2,000
Serikali dhalimu ikiendeleza udhalimu wake dhidi ya Watanzania.

Dodoma. Mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika amesema mamia ya wakazi wa mitaa ya Mlongazila na Kisokwa jijini Dar es Salaam wanalala nje kutokana na wanajeshi kuchoma moto na kubomoa nyumba zao.

Mnyika ameomba mwongozo bungeni leo Ijumaa Mei 3 kwa kutumia kanuni ya 47 akiomba idhini ya kutoa hoja juu ya jambo la dharura lenye maslahi kwa umma.

“Kuanzia jana katika mtaa wa Kisokwa na Mlongazila mitaa ambayo inabishaniwa kati ya manispaa ya Ubungo na Kisarawe iko upande upi kumetokea jambo lililofanywa na Jeshi la Wananchi (JWTZ),” amesema.

Amesema tukio hilo limehusisha kuchoma moto na kuvunja nyumba za wananchi na kwamba kuna wananchi ambao wamelala nje ya nyumba.

“Sasa jambo hilo ni la dharura kwa sababu ya bomoabomoa hiyo na uchomaji wa nyumba bado unaendelea hivi sasa wananchi wanaendelea kuathirika,” amesema Mnyika.

Amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza kusitishwa kwa bomoabomoa na uchomaji wa nyumba na kuwatuma mawaziri watatu kutatua mgogoro huo.

Amewataja mawaziri watakaounda timu hiyo kuwa ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi; Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi ka Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi.

Amesema hakukuwa na mgogoro kati ya wananchi na JWTZ lakini kulikuwa ulipaji wa fidia ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR).

Amesema tayari tathimini ya mali hizo ilishafanyika lakini wakati wakisubiri kulipwa fidia kumetokea uvamizi huo.

Hata hivyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema jambo hilo ndiyo Serikali imelipata na kwamba kwakuwa anasema inahusisha wizara tatu anaomba waachiwe muda waweze kufuatilia.

“Mjadala hapa ndani utatulazimu Serikali tuweze kutoa majibu yetu ni lazima tuwe katika position (nafasi) kulifahamu vizuri na kulitolea ufafanuzi. Tunaomba utuachie tufuatilie na kujua kiini na kama utaona inakupendeza tutakurudishia majibu,” amesema.

Akijibu mwongozo huo, Spika Job Ndugai amesema kwa uhakika ndiyo wanasikia jambo hilo na hivyo ni vyema Serikali kuachiwa iweze kulitolea ufafanuzi.

“Ni vizuri tuwaachie wenzetu kwa mapendekezo uliyoyatoa ili waweze kuyafanyia kazi kwa wakati muafaka tutaona way forward ya jambo hili ya namna ya kwenda nalo lakini tumelipokea kama meza,” amesema Ndugai.
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
1,621
Points
2,000

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
1,621 2,000

Kama jeshi lilifuatwa nalisapoti kuvunja hizo nyumba,kama jeshi limewafuta wananchi sikubaliani na kitendo hicho.

Mnyika awe muwazi,aeleze kizima ,ili tupembue wenyewe,asitumie issue hiyo kwa manufaa yake kisiasa
 
Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
8,733
Points
2,000

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
8,733 2,000
Kama jeshi lilifuatwa nalisapoti kuvunja hizo nyumba,kama jeshi limewafuta wananchi sikubaliani na kitendo hicho.

Mnyika awe muwazi,aeleze kizima ,ili tupembue wenyewe,asitumie issue hiyo kwa manufaa yake kisiasa
Ipo siku na haiko mbali utakuja kuelewa tu!
 
Forum statistics

Threads 1,367,248
Members 521,703
Posts 33,392,741
Top