ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habari wadau,
Naomba ushauri. Nlijaribu kulima nyanya zilikua vizuri tu lakini zilipofika stage ya maua na kuanza kuzaa zikapata ugojwa wa Mnyauko. Nlipata ushauri wa dawa mbalimbali lakini watalaamu wengi waliniambia nimeshachelewa na shamba lote linaweza kunyauka na ndicho kilichotokea kwa asilimia kubwa sana.
Nlishauriwa ningetumia dawa Fulani hivi ya By-trade inaitwa Recharge lakini kabla ya kupandikiza miche kitu ambacho sikufanya. Nikashauriwa nitumie dawa iitwayo Confidor nayo haikufua dafu.
Sasa natamani kurudia tena kulima nyanya eneo hilo hilo lakini nimepata ushauri natakiwa kufanya "crop rotation" kabla sijalima tena nyanya, yaani nilime mazao tofauti na jamii ya nyanya.
Noamba ushauri nifanyeje ili nirudie tena nyanya, kuna dawa ambayo nitaweza kutumia kwenye shamba kabla sijapandikiza tena nyanya?? USHAURI please.