Mnyaturu katika ubora wake

Jingus wee wa ughandi / laghanida!?? Jingu ndo majina ya kule singida ndani huko hata mie natumia jingu kwa babu

ha ha haaa huyo atakua kama sio wa mpambaa basi atakua wa lukomo.... kinyiya mukhiku kinyiyaaaa! umetisha mkuuu
 
Kweli ulimsemo "kila mwizi huona kuwa watu wote wezi" au jamabazi hudhani wote majambazi!!

Huenda Gefu akawa na point kwenye madai yake, lakini kiukweli jamaa anasaidia sana wananchi wa Singida, mathalani wakulima wa alizeti na kutoa ajira kwa vijana kwenye hivyo viwanda vya kukamua mafuta. Tukumbuke kwamba hiyo ni biashara na haihusiani na ubunge.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…