falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,360
BOY...boy huoni hata kanga kuna nembo zake.......Hahahaaa weweee, home boy/girl bila shaka ebu nisahihishe hapa.
Mwaka wa uchaguzi huu, hapo anaweza hata akala nao ugali na mlenda,
akitoka tu anaingia zake kwenye range ile MO anakunywa dawa ya kujitapisha mfe na milenda yenu
Mkuu Bongolala... si bora huo nashati zake, viwanda vyake,kampuni zake,capital zake,n,nk bado zinahudumia na kutoa ajira ktk nchi hii ya 49millioni pippo !!!! huhyo usemae Muhindi ndo amewapa moyo wakulima kuendelea na maisha...!!Wanyaturu hawajiamini mpaka wanampa muhindi ubunge.MO ndiye anatuliza kila kukicha ktk misamaha ya kodi kuingiza mchele,sukari,cement bila kodi.Mazao yetu ananunua kwa bei aitakaye yeye.Kaua mashamba na viwanda kama vya korosho alivyobinafsishiwa kwa bei ya kutupa
Aiseeeee, kaamua kujichanganya kihome home , mhumba wo khaya
Bila shaka mkikuu.
Hapa lazima muishie pm, na wadada wa kule Sekenke mlivyo wazuri ni shoka moja tu mbuyu😉
Hahaahaha! Nyimbo iko iv
Kinyiya mukhikuu, kinyiyaaa!!
Ahhhh jamani!
Mwaka wa uchaguzi huu, hapo anaweza hata akala nao ugali na mlenda,
akitoka tu anaingia zake kwenye range ile MO anakunywa dawa ya kujitapisha mfe na milenda yenu
Nimecheka sana aiseeMwaka wa uchaguzi huu, hapo anaweza hata akala nao ugali na mlenda,
akitoka tu anaingia zake kwenye range ile MO anakunywa dawa ya kujitapisha mfe na milenda yenu
...wapo wenye uwezo zaidi yake mpaka anasubiri na hawatumii umasikini kama nyenzo ya kuwa kandamiza na kuwaibia wanyonge. atabaki kuwa jambazi tu....Gefu eee huyo mtu wa watu....... Ukibisha anaweza lisha ukoo na kabila zima !!!!!
Kweli ulimsemo "kila mwizi huona kuwa watu wote wezi" au jamabazi hudhani wote majambazi!!...wapo wenye uwezo zaidi yake mpaka anasubiri na hawatumii umasikini kama nyenzo ya kuwa kandamiza na kuwaibia wanyonge. atabaki kuwa jambazi tu....