Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu, natumai mchana wenu umeenda sawia kabisa.
KIchwa cha uzi kinajieleza japo nimepata changamoto namna ya kuandika kichwa cha uzi maana najua kuna wataokuwa na maana yao. Lengo la uzi ni kuweka sawa maana ya K' Matata.
Memba wengi wamekuwa wakiniuliza Kasie ukiandika K' Matata tunapata ukakasi hiyo K ni nini??
K' Matata imetoka mbali, imeanzia kwenye jina langu asilia ambalo ni KASINDE. Hili ndio jina langu halisi na mara nyingi nilikuwa nikiweka uzi nilikuwa najitaja na kujisema kwa jina langu lote la Kasinde. Baadae nikaanza kuweka kwa kifupi Kasie.... Kipindi flani nilivuruga password yangu ya Kasinde nikaisahau, baada ya muda nikataka kurudi sikuweza ikabidi nianzishe ID nyingine ila nikatumia jina la Kasie na ndo hadi leo ID yangu inasomeka kwa jina la Kasie japo ID yangu ya Kasinde na Kasie zimeshaunganishwa.
Hii ya K' Matata ni kifupi cha Kasinde Matata na sio K nyingine yeyote mnayoiwaza au kuifikiria, kuna baadhi ya wadada wakaniambia, hivi wewe Kasie nani alikudanganya kuwa K yako ni tamu na babu kubwa kuliko K za waschana..... nikacheka tu sikuwajibu maana niliona walipanic kwa jina tuu jee wakisikia naniihiii (................) jee..... si watasema najifanyisha.... kumbe ndo nilivyo masikini bibi wa watu.
K' Matata ni Kasinde Matata ni Kasie Matata pia inawakilisha Kasiba Matata.
Kasie majina mengi pia ni aka yangu na desh desh ndio mchumba wangu.
Najifikiria niweke keyboard pembeni bila kumtaja Dadii.... hapana naona kama vile nimelala na njaa bila kula na jjinsi ninavyopenda kula siwezi.
Dadii, K' Matata ndo kichuna wako ndo kistobe wako ndo Lordship wako ndo desh desh wako.
Natumai mliokuwa mnapata ukakakasi na jina la K' Matata sasa mtapata amani.
Nimekutana na huu wimbo unaitwa Kei Song, nimeusikiliza naona ni wimbo wa ala za Mahaba Mahaba hivii. Kasie na Mahaba ni kama uji na mhonjwa, pete na kidole....
Mahaba Mia Mia kwa Dadii na Kasie yadumu milele.
K' Matata Kasiba.