Weeeee mie simba damu damu.
wewe ni yeboyebo ninakujua
Hujaalikwa Jangwani kwenye msiba wa kandambili?
Unasema???Weeeee mie simba damu damu.
Atii?????mimi YANGA damu damu
haha ana agenda ya siri
Nipo njiani namsindikiza muwe wangu anawahi mazishi ya team yake sijui tutawahi.........lol
utafiti 09:02 Toda
By Tee Bag:
Mkuu umejibu swali moja tena kwa msisitizo la
pili hujanijibu mkuu
Tee Bag kwani hujui sisi ni watu wa jangwani??
cc: MO11
Vipi hajambo,
Mtani jembe wewe nani
Tee Bag kwani hujui sisi ni watu wa jangwani??
Tutakua wengi leo...
Honey Faith kwenye uzi huu anasema yeye simba kule kwangine alisema yanga haya....nakumbuka
cc Honey Faith
Unasema???
Atii?????
Haya ukimuona yule Mbrazil msibani mwambie BAK anakusalimia sana anasema poleeeee 🙂🙂
nakumbuka
cc Honey Faith
BAK naomba unisaidie eti kule tulipotoka nilikuwa yanga mie????Honey Faith kwenye uzi huu anasema yeye simba kule kwangine alisema yanga haya....
Amezimia nasikia kakimbizwa muhimbili.Nitazidi kukuhabarisha
Honey Faith kwenye uzi huu anasema yeye simba kule kwangine alisema yanga haya....
Hata wewe pia.Kwani unajua mie na utafiti tumetokea wapi?
Hawawezi kujua, kama MO11 anabahatisha tu.
Hebu mueleweshe huyo mwenzio sie hatujakutana barabarani atiii?????
nimeamini mmetoka mbali mpaka timu za kushangilia ??
ha ha ha ha
Honey Faith kwenye uzi huu anasema yeye simba kule kwangine alisema yanga haya....