Mnyama huyu ni pambo ndani ya nyumba

Mnyama huyu ni pambo ndani ya nyumba

We're in the same boat. Nashindwa kabisa kula kama ni kwenye nyama choma kukiwepo na paka au nimealikwa msosi nyumba ambayo ina paka.

I hate them I don't know why? but siwapendi hata kidogo
 
mi nawaogopa sana..sijui kwa nini..yaani mbwa siwaogopi ila paka anaweza nitoa roho kwa uoga...
 
Back
Top Bottom