Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,836
- 831,078
Huyu mnyama atakua ni mhenga aliyesema usipoziba ufa....
huyu kakimbilia kituo cha polisi, alikuwa labda anafukuzwa na wanyama wakali!
Leo Punda Milia, kesho Simba anawasili...sijui kama patakalika hapo.
Huyu mnyama atakua ni mhenga aliyesema usipoziba ufa....
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
huyu kakimbilia kituo cha polisi, alikuwa labda anafukuzwa na wanyama wakali!

Ameenda kulipa faini ya kuzidisha mwendo
sio kwamba kakimbia majangiliHuyu mnyama atakua ni mhenga aliyesema usipoziba ufa....
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
HIS IMPERIAL MAJESTY EMPEROR HAILE SELASSIE I THE FIRST-DEFENDER OF THE FAITH![]()
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums