Mnyaa athibitisha kuwa CUF ni CCM B! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyaa athibitisha kuwa CUF ni CCM B!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Nov 20, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Nikili kuwa nimejiridhisha kuwa chama cha wananchi CUF kuwa ni Mke halali wa tena kesha zaa!
  Hili limejidhihirisha leo ktk mdahalo wa star tv pale Moven pick huku Lisu akijibu hoja kisheria na kikatiba yeye alijibu utadhani ni katibu mwenezi wa ccm!
  Yani mara ya kwanza nilidhani ni kiongozi wa ccm mbaka niliposikia mwenyekiti wa mdahalo huo akisema ni mbunge wa cuf.
   
 2. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kumpambanisha Mnyaa na Lissu ni sawa na kupambanisha BAJAJ na VOGUE
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ni wazi!
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Nakusihi siku nyingine ukipinga jambo basi leta ufafanuzi sio kutoa povu tu! Kama unahoja iweke hapa uungwe mkono kwa hoja, huna tofauti na Mnyaa wewe!
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naifananisha CUF sawa na mke wa mtu anaye cheat! Nje anajifanya yuko beneath na wananchi, lakini ilhali wanakaa vikao vya siri na mabwana zao CCM kuhujumu wananchi!
   
 7. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  you are very right. ni upumbavu wa hali ya juu kupinga kila kitu alimradi tu aliyesema humuungi mkono ama humtambui. na haya ndiyo matatizo ya wanachama wa the so called CHAHEMA
   
 8. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Unahitaji ufafanuzi gani tena hata wewe umeongea upuuzi mtupu mbona hamna ufafanuzi katika maelezo yako? acha kujifanya mtaalamu wa kuongea wakati mwenyewe ni porojo tu. unasema lisu anaongea kulingana na katibu kivipi? na kivipi mnyaa haongei kikatiba you blocked minded?
   
 9. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!.............
   
 10. i

  iphone Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mm ni mwananchi wa kawaida nisifungamana cha siasa kile ila it's true in this context of discussion that we not consulted if u believe like Ur fellow that the constitution is meant for us and not the govt!!!!! Pls it's obvious u will say am a chadema member but we passed our sincere cry to the govt bt we landed invain.sorry for that but better the party that take heed of wananchi.
   
 11. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo wa2 wa cuf mnaboa. Ongeeni hoja sio jaziba. Na ukweli always unauma poleni sana naona mnaogopa kuachika.
   
 12. j

  jigoku JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  CUF upinzani wao ni upi ambao unaweza kutamkwa wazi na hadharani na katibu mkuu wa CUF taifa ukizingatia kuipinga serikali ya CCM kule ZNZ? Ajitokeze mtu na aseme juu ya hili kwamba siku fulani.tarehe fulani na mahali fulani makamu wa rais na katibu mkuu wa CUF TZ ameipinga serikali ya kitaifa juu ya jambo fulani lenye masilahi kitaifa na serikali ya CCM ika-admit na kisha kufuata maelekezo ya CUF ili kulinda na kutetea maslahi ya umma.Nani aseme sasa juu ya hoja hii,acheni unafiki bana,mkubali tayari mmeshaolewa na mkubali mlihamasisha watu nyie CUF kuandamana na hata mme wenu CCM kuamuru vibaraka wake POLICCM kuuwa watu takribani 23 kumbe dili yenu na kitu mlichokuwa mnakitafuta ni katibu mkuu kupewa u-makamu wa raisi tu basi.kama mnabisha tuambieni nini malengo yenu ya kuwa wapinzani?nini mlikiona hakiendi sawa kilichokuwa kinaongozwa na CCM?je LEO kimetimizwa?au je leo CCM imetekeleza yale mliyokuwa mnayapigania?tuache unafiki hapa hakuna kitu cha kuwashawishi watanazania wenye kutafakari mambo.Nauliza tena lengo lenu ilikuwa ni nini?kupata umakamu wa raisi?au kupata kitu gani,na je kipi kimebadilika katika yale mliyokuwa manayapiganaia?Tutaikomboa tu nchi hii pamoja na kuunganisha nguvu zenu na CCM A
   
 13. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tuliza mzuka Mbopo, mihasira yote hiyo ya nini sasa!
   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Aisee jigoku nakubaliana na wewe, CUF hawana namna ya kupinga uswahiba wao na ccm, ni jambo ambalo liko wazi tu. Hizi story za oooh kuwa mpinzani sio maana yake kubisha kila kitu ni usanii tu.
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ami yenu mnyaa anajivunia ndugu zenu walivyouwawa na ccm, amesha sahau walikufa wakipigania nini, sefu ikulu basi raaha mustarehe! hoovyo, sefu alishindwa nini kuwaambia wazenji wasipinge matokeo, wasiwasusie wana ccm kwenye shughuli za kijamii mpaka wenzenu wamekufa, walikuwa wanatafuta uhalali wa kisiasa kuingia ikulu, tulipigania hakhi, je imepatikana! ila sefu akiwa ikulu sawasawa! unga mkono hata dhuluma, eeeh si tupo ikulu na sisi! hata mkipewa nchi hamuwezi kuyatenda ya wananchi!
   
 16. B

  Bagenyi Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mjinga inabidi wapenda maendeleo na ustawi wa taifa hili wakuelimishe na ukigoma utakuwa mpumbafu au utakuwa either fisadi au anayefaidika na ufisadi. Acha fikra mgando fikiria ustawi wa taifa hili kwa kizazi cha sasa na vijavyo na usijiangalie wewe tu.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Cuf ndio magamba b, nao wajivue gamba
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  1. Mkuu ingekuwa vizuri ukaja na mfano ulio wazi kuhusu nilichoki - highlight.

  2. Neno unafiki hapo sielewi limetuimikaje, lakini last tyme I checked unafiki haufanani na chochote ulichoandika hapo.
   
 19. N

  NIPENDEMIMI Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitamwona mtu yoyote ana busara iwapo ataweza kuthibitisha kuwa chadema wanapinga bila point na hoja za nguvu!kila mwananchi mwenye uelewa nadhani anakubaliana sana na hawa mabwana, nimewasikiliza juu ya sababu zao za kupinga muswada na vuguvugu lao la kutokukubaliana na mambo kienyeji, ni kweli wana hoja za msingi ndo maana kila siku wanaungwa mkono sana toka kila pembe ya nchi na nje ya nchi,wamejipanga na jana kweli myaa alizidiwa sana!lisu ki kiboko!wenzetu wana[potosha umma na vijembe juu hali wenzao wanafundisha na kuibua hoja kwa manufaa ya wananchi wote!
   
 20. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Habib Juma Mnyaa ninayemjua mimi ni Mhandisi (Engineer ) wa umeme. Nilimfahamu toka akiwa shirika la umeme Zanzibar (ZSTC) na baadae ofisi yake kama mkandarasi pale daraja bovu Zanzibar.

  Kuna maana gani kumkutanisha Lawyer na Engineer katika suala la kisheria? Kwanini wasimchukue ismail Jussa kumkutanisha na Lissu kwani wote hawa ni fani moja.

  Lakini pia Chadema lazima wakubali mawazo mgongano.Sio kila wanachosema au kuamua wao tu ni kweli na hawaruhusu watu wengine kupingana nao.Huo ni udikteta.

   
Loading...