H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Habib Juma Mnyaa ninayemjua mimi ni Mhandisi (Engineer ) wa umeme. Nilimfahamu toka akiwa shirika la umeme Zanzibar (ZSTC) na baadae ofisi yake kama mkandarasi pale daraja bovu Zanzibar.
Kuna maana gani kumkutanisha Lawyer na Engineer katika suala la kisheria? Kwanini wasimchukue ismail Jussa kumkutanisha na Lissu kwani wote hawa ni fani moja.
Lakini pia Chadema lazima wakubali mawazo mgongano.Sio kila wanachosema au kuamua wao tu ni kweli na hawaruhusu watu wengine kupingana nao.Huo ni udikteta.
Umeianza vema hoja yako,lakini umaliziaji mmh... Kupingana juu ya kupata KATIBA halali ? kivipi mkuu wangu.