Mnuso!!!

mi huwa nafurahi sana nikikaa na watu walionizidi kielemu na kimaendeleo wakianza kunipa stori za maisha yao na vikwazo
 
Wala sio uongo. .
Au unadhani kadada kana umbo nambanane unakutana naumbo la mnazi au sanamu la michellini kama wenyewe wanavyoita.

teh teh teh hapo chacha. Ila i guess ww mrembo bana
 

sawa mkuu, id muhimu. kwa wale watumiaji wa noah, kuna mdau atatoa kilo kwa kila mtu.
 
Mbona naona story tu? Venue hakuna?
 
Mkangafu....Mdindifu... Kibuku... vipo?
 
mkuu hivi pale ccm-Lumumba si mna ka ukumbi au?fanya mpango basi tufanikishe tukio, ongea na Jk awe mgeni rasmi.
Wewe unaufahamu tu wa Lumumba. Tz hii kila mahali kuna kumbi na viwanja vya CCM! Tatizo JK akija watu mtaanza kujichekesha chekesha ovyo kama wale jamaa wa jumapili ikulu
 
Wewe unaufahamu tu wa Lumumba. Tz hii kila mahali kuna kumbi na viwanja vya CCM! Tatizo JK akija watu mtaanza kujichekesha chekesha ovyo kama wale jamaa wa jumapili ikulu

angalia lakini asije akaondoka kwa aibu!


Halafu lini mmepewa hati mili ya viwanja??tz kuna viwanja vya ccm?!
Nchi imetoka kwenye chama kimoja na kuingia mfumo vyama vingi hapo inataki viwanja vyote viwe mali ya wa tz wote na sio ccm maana walishiriki kuvijenga watanzania wote na kwa sasa sio wote wamebaki ccm. Je wapinzani sio watanzania?
Wait katiba mpya uone kama utakubali huo upuuzi mliotuletea tangu kuanza kwa vyama vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…