Mnuso wa Obama

Mnuso wa Obama

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Itakuwa busara kama JK atamwalika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani ktk dhifa na Obama. Italiletea taifa sifa huko nje. Mbowe, Slaa, Lissu, Wenje, Leticia, mkialikwa nendeni! Najua Pro. Lipumba ataenda. Haitakuwa na maana kama kwenye 'mnuso' huo watajaa akina Nape, Jaffo, Madabida, Mangula na hata lusinde!!
 
weeee dr fastjet awez faya hivyo........
 
Hongera sana Jakaya kwa ujio wa Obama. Sasa hata Sara Paulin na Ehud Barak watajua TANZANIA ni moja ya nchi ktk dunia hii!
 
Back
Top Bottom