Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Nimemuelewa vizuri mkuu lakin hiyo stegi ya mwisho kwenye haka kajiko ndo kananipa shida,nikifungua siisikii gesi ikifanya shiiiii ili nichukue njiti niwashe
Imeziba....usipoteze muda..kanunue kingine..la km jiran yko analo km hilo..chukua valve yk bandika kwako kutest utaona
Sie ndio tunaoshinda jikoni..na nishawah tumia hicho
 
Kama hujatumia muda mrefu hivyo vitobo vya hicho kivalve vinaziba kwa kutu...
Cha kufanya kanunua kivalve kingine..utakuja kunambia...
valve nyingine inauzwa bei gani
 
Imeziba....usipoteze muda..kanunue kingine..la km jiran yko analo km hilo..chukua valve yk bandika kwako kutest utaona
Sie ndio tunaoshinda jikoni..na nishawah tumia hicho
Vavle inauzwa bei gani
 
Nimefanya kama ulivyonielekeza lakin baada ya kuzungusha hiyo koki ile sauti shiii siisikii kabisa

Are you sure iko na gas?
Uko sure hiyo burner yako inafanya kazi ipasavyo?

1) Angalia kama kweli una gas kwa hiyo cylinder. Unaweza pima kilo au kautingize (utahisi kama umejaa au la)

2) Jaribu kutumia burner tofauti au tumia hiyo burner kwa gas cylinder tofauti

Then remember; matchbox kwanza kisha unafungua valve ya burner
 
Aiseeeeh Pole.
Siyo wewe kweli ulikuwa unabeba upinde na panga kule ntwara kuwa hakuna gesi kwenda Dar es salaam!?

Haya matokeo ndiyo Kama hayo sasa unaadhibiwa na kijiko kidogooo.

Rudisha , kwa aliyekuuzia ama mahala ulipojaza gasi inawezekana pana shida au hawajajaza chochote humo kwenye kimtungi hicho walichokugeia
 
Are you sure iko na gas?
Uko sure hiyo burner yako inafanya kazi ipasavyo?

1) Angalia kama kweli una gas kwa hiyo cylinder. Unaweza pima kilo au kautingize (utahisi kama umejaa au la)

2) Jaribu kutumia burner tofauti au tumia hiyo burner kwa gas cylinder tofauti

Then remember; matchbox kwanza kisha unafungua valve ya burner
Gesi iko full hata muda wakati nafunga hii burner gesi naisikia inatoka nikishakaza inatulia lakini nikifungua nikitaka kuwasha siisikihi ikifanya shiiih ngoja nijaribu kuazima burner nyingine nione
 
Fuata hatua hizi .

Washa njiti kwanza

Then sogeza karibu na kwenye hvyo vishimo then fungua koki na moto utawaka

Fuata hivyo ni salama zaidi
 
Fuata hatua hizi .

Washa njiti kwanza

Then sogeza karibu na kwenye hvyo vishimo then fungua koki na moto utawaka

Fuata hivyo ni salama zaidi
Nimefata hizo hatua nimefungua koki hadi mwisho,na hadi njiti inaishia alijawaka
 
Huyu jamaa anaonekana anaipenda sana jumapili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom