Ftc
Senior Member
- Apr 30, 2017
- 144
- 114
Habari ya jumapili wakuu,niliachiwa jiko la gesi na jamaa angu sasa alivyoniachia mtungi ulikuwa hauna gesi nilikaha nalo kwa muda bila kulitumia sasa leo nimeokota kaelfu ishirini kangu nikaenda kuongeza gesi,kimbembe kipo hivi nimefunga hii valve ya juu,na nikafungua hii valve ya kuruhusu gesi ili nitumie lakin kila nikiwasha naona aiwaki nitakuwa nakosea wapi
...........................................................Update
Asanteni kwa ushauri wenu kuhuliza sio ushamba nimepata maarifa sana kuhusu haya majiko ya gesi,mrejesho ni kwamba nimeenda kununua burner nyingine na sasa natumia jiko langu kama kawaida