maziwa ya mgando
Senior Member
- Mar 29, 2012
- 167
- 37
karibu sana!
Mtindi hatuwezi kukusahau manake wewe ni kiungo, mboga na dawa. Hata MziziMkavu anajua. Kwani Bishanga kajinyongea nini, hebu leta umbea kiduchu
bibie King'asti Hayatakuwa Mtindi wala maziwa ya mgando yatakuwa Maziwa yalikwisha haribikaMtindi hatuwezi kukusahau manake wewe ni kiungo, mboga na dawa. Hata MziziMkavu anajua. Kwani Bishanga kajinyongea nini, hebu leta umbea kiduchu
bibie King'asti Hayatakuwa Mtindi wala maziwa ya mgando yatakuwa Maziwa yalikwisha haribika
Mtindi hatuwezi kukusahau manake wewe ni kiungo, mboga na dawa. Hata MziziMkavu anajua. Kwani Bishanga kajinyongea nini, hebu leta umbea kiduchu
tatizo lako wewe toka nimekunililiyu kila ukilala unaniota,next time nitapunguza kalufundi!