Jonogomero
Member
- Feb 8, 2012
- 99
- 27
hamii forums ndio nini???
Hamii forums ndio jamii forims mnisameheeeee
natamani dunia nzima tuanze kutembea uchi mnisamehe
Napenda JMK awe raisi wa maisha !
... Mnisameheeeee.
duh!kwa kweli uchamehewe bure
Hahaha!Fakhina weeeNataman nyote muwe wadogo zangu then niwapige makonzi mnisameh