Mnisamehe nilikuwa sijui PM ndio nini

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,212
Reaction score
942
Samahani kwa wadau wote walio husika kipengele hicho kwa upande wangu nilikuwa sijui bwana kama kipo kipengele hicho leo ndio nakiona.
 
samahani kwa wadau wote walio husika kipengele hicho kwa upande wangu nilikuwa sijui bwana kama kipo leo ndio nakiona.
Kwahiyo umegundua PM ni nini?Na umegundua lini?na baada ya kuligundua ulijisikiaje?na sasa unajisikiaje?na nini ushauri wako kwa wana JF?
Cc Moderator
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo umegundua PM ni nini?Na umegundua lini?na baada ya kuligundua ulijisikiaje?na sasa unajisikiaje?na nini ushauri wako kwa wana JF?
Cc Moderator

Mkuu nimegundua leo. ni private messages, nimejisikia vibaya kwa sababu kuna watu walinitumia meseji sijajibu tangu january....sasa najisikia vizuri nimewajibu. Ushauri kwa wana jf....wawe wanasoma/kupitia maelelzo vizuri ya kitu fulani wasije wakakosa mambo mazuri hata maishani kwa kuwa juu juu kama nilivyojiunga mimi jf juu juu.
 
Last edited by a moderator:
Utasamehewa kwa kutojua,lakini hutosamehewa kwa kuianzishia hii thread.
 

mi nilijua pinda mizengo
 

Sasa mbona mm hujanibu PM yangu?by the way,hayo majina yako ni miongoni mwa yale yaliyokuja na Meli(YA KIGENI)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…