Mnisaidie ndugu zangu huyu Mwanamke Lengo lake nini?

hv kulikuwa na ulazima wowote wa kututajia na size ya screen yako ya ukutan? lengo hasa ni kitu gan tujue kwamba una inch 53 au ulikuwa unataka ushaur kuhusu uyo kicheche?
 
...Umefunga huku umeshatia nia kuzini, Umefunga lakini mwashinda mwaangalia screen inch 53 badala ya kukazania swala tano....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom