Mnisaidie kumtafutia kazi(maabara) mdogo wangu mzigo wa familia umenielemea

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
271
219
wapendwa bwana yesu asifiwe,asalmalekyum.kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina mdogo wangu wa kike nimemsomesha maabara lakin kazi hajapata.hivyo amebaki kuwa tena tegemezi kwangu na mm ndyo mlez wa familia..nipo singida 0788479084.mbarikiwe
 
To what level of laboratory technology?
 
hapana amekaa miaka miwili bila kazi, lab.basics .parasitology,haematology,microbiology and histology
 
short course in lab basics mwaka mmoja .parasitology,haematology,microbiology and histology
A bit difficult. Asome to diploma level. Hiyo kwa sasa ni ngumu kidogo. Kuna advanced diploma , diploma mpaka degree. Anyway, keep visiting JF
 
Back
Top Bottom