K Katambao Member Joined Apr 11, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Apr 12, 2012 #1 Jamani jamani jamiiforum imenifanya nipate raahaaa mpaka nikaamua nijiunge nanyi katika kushirikiana kwenye mawazo mbalimbali! Naombeni mnikaribishe!! Katambao Asanteni!
Jamani jamani jamiiforum imenifanya nipate raahaaa mpaka nikaamua nijiunge nanyi katika kushirikiana kwenye mawazo mbalimbali! Naombeni mnikaribishe!! Katambao Asanteni!
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Apr 13, 2012 #2 karibu sana...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Apr 13, 2012 #3 Karibu sana jamvini.
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,717 Apr 13, 2012 #4 Karibu sana, ANGALIZO: Penye ukweli sema ukweli, usibali mapendezi yako yaupinge ukweli... Safari njema ktk brain storming
Karibu sana, ANGALIZO: Penye ukweli sema ukweli, usibali mapendezi yako yaupinge ukweli... Safari njema ktk brain storming