Mambo yake makubwa sana anaweza kufilisi mtaji wote.Asa kwa nini hukumuoa yeye?
Jana alitaka nikapashe kiporo tatizo yupo mkoa mwengine lakini naona hayupo mbali kutafunwa. Nitaleta uzi kule kimasihara ila hii kimasihara ilio komaaa😂Huyo hawezi kuchomoa
Mwambie unataka kupasha kiporo mjikumbushie
Na akikubali mpelekee moto haswa
Mambo gani 😂Mambo yake makubwa sana anaweza kufilisi mtaji wote.
Kuna muujiza hukuKuna nini tena
Jana alitaka nikapashe kiporo tatizo yupo mkoa mwengine lakini naona hayupo mbali kutafunwa. Nitaleta uzi kule kimasihara ila hii kimasihara ilio komaaa😂
Miujiza ipi hiyoKuna muujiza huku
Biblia iliposema mlee mtoto katika njia ipasayo nae hatoiacha hata atakapokuwa mzee ilisema vyema sana, maana ww mwenyewe unafika mahali unajishtukia na kutamani kuishi vile wazazi wamekulea, hongera kwa kuona badiliko.Habar wakuu
Natumaini niwazima wote
Niende streght kwenye uzi
Kiukweli wakuu sasa nahtaji kubadilisha mfumo wa maisha yangu kiukweli sikuwa hivi nilivyo nakili na kukili mimi nikijana niliezaliwa katika familia yenye maadili sana na kumjua mungu mamaangu alinilea na kunisomesha mbaka nilipo maliza.
Kiukweli nilipo maliza kusoma na kuanza maisha yangu mengine ghafra nilianza ku change kitabia nikiwa last year chuo na nimekuwa Playboy mbaka kuna muda najiogopa na kusema huyu sio mimi kwa mambo nnayo yafanya alafu kibaya zaidi niyule Silent killer yaan kwa usie kaa namimi na kunifatilia kwamakini huwez nigundua ila mungu tu anisamehe.
Wakuu sio kwamba najisifia hapana coz niujinga tu ndo nilichokuja kugundua na hakuna chamaana zaidi ya kupoteza muda mwingi na pesa mingi juu ya kuchakata mbususu za kila aina sasa bhasi nimewaza na kuwazua sijaona chamaana kama wanawake nimewatumia sana kiukweli mungu anisamehe ujana maji ya moto lakini pia nahisi pepo la ngono lilinivaa tu siobure
Wakuu sasa now nahtaji kubadilika mwenyew bila hata ya kulazimishwa na mtu yoyote wakuu nahtaji kuludi kwa mungu wangu kutubu upuuzi wangu na kuanza new chapta staki tena haya mambo ya wanawake hilo moja.
Mbili naitaji kunuwia na kuweka nadhiri juu ya hili sitaki mchezo sasa acha nilud kwa mungu coz nimengi nishafanya lakini hakuniacha bado mungu aliendelea kunipigania kwa kunipa pumzi na afya njema bila hata kulipia sent 1 namshukuru sana mungu hakuniacha mwanae.
Tatu wanawake wote niliomaliza nao season hii mbka now napiga chini wote japokuwa mmoja tu kiukweli huyu mwanamke ndo pekee alienikaa moyoni na kumpenda kweli na kumuheshimu mbka najishangaaga kweli na uhuni wangu wote hapa nimekwama kweli kabsa au kaniroga.
Nne nikishamaliza kupigachini pisi zote sasa huyo nilie bakisha nataka nipeleke barua kwao wakuu naoa naomba nioe sasa nikae na wife nitulie niangalie maisha mengine wakuu naomba mniombee sana kwahilo naimani sasa hata mamaangu ata furah sana kwani nimuda amekuwa akitamani kumpelekea mkwe na nioe.
Mwisho nawashukuru kwa kunisikiliza mnisamehe na uandishiwangu mbovu lakini nahtaji mniombee sana kwani nnaloenda kulifanya siojambo dogo kiukweli shetani ameshanitumia vyakutosha sasa bhas inatosha wakuu.
Lakini kikubwa kama kunaushauri najua hamuwez kukosa ushauri wa kunipa pia wakuu nawakaribisha sana niko tayari kupokea
Mwenyezi mungu awabariki sana [emoji120][emoji120]
Umefumaniwa Mara ngapi na wale jamaa wa mafuta naziHabar wakuu

Mtoto wa kishua huyu maisha ya uswahilini anapaona kwenye kideo tu.Mambo gani 😂