Mniombee tafadhali

Mniombee tafadhali

Hongera man hiyo ni hatua kubwa sana katika maisha yako na Mungu akuongoze.
 
Habar wakuu
Natumaini niwazima wote

Niende streght kwenye uzi
Kiukweli wakuu sasa nahtaji kubadilisha mfumo wa maisha yangu kiukweli sikuwa hivi nilivyo nakili na kukili mimi nikijana niliezaliwa katika familia yenye maadili sana na kumjua mungu mamaangu alinilea na kunisomesha mbaka nilipo maliza.

Kiukweli nilipo maliza kusoma na kuanza maisha yangu mengine ghafra nilianza ku change kitabia nikiwa last year chuo na nimekuwa Playboy mbaka kuna muda najiogopa na kusema huyu sio mimi kwa mambo nnayo yafanya alafu kibaya zaidi niyule Silent killer yaan kwa usie kaa namimi na kunifatilia kwamakini huwez nigundua ila mungu tu anisamehe.

Wakuu sio kwamba najisifia hapana coz niujinga tu ndo nilichokuja kugundua na hakuna chamaana zaidi ya kupoteza muda mwingi na pesa mingi juu ya kuchakata mbususu za kila aina sasa bhasi nimewaza na kuwazua sijaona chamaana kama wanawake nimewatumia sana kiukweli mungu anisamehe ujana maji ya moto lakini pia nahisi pepo la ngono lilinivaa tu siobure

Wakuu sasa now nahtaji kubadilika mwenyew bila hata ya kulazimishwa na mtu yoyote wakuu nahtaji kuludi kwa mungu wangu kutubu upuuzi wangu na kuanza new chapta staki tena haya mambo ya wanawake hilo moja.

Mbili naitaji kunuwia na kuweka nadhiri juu ya hili sitaki mchezo sasa acha nilud kwa mungu coz nimengi nishafanya lakini hakuniacha bado mungu aliendelea kunipigania kwa kunipa pumzi na afya njema bila hata kulipia sent 1 namshukuru sana mungu hakuniacha mwanae.

Tatu wanawake wote niliomaliza nao season hii mbka now napiga chini wote japokuwa mmoja tu kiukweli huyu mwanamke ndo pekee alienikaa moyoni na kumpenda kweli na kumuheshimu mbka najishangaaga kweli na uhuni wangu wote hapa nimekwama kweli kabsa au kaniroga.

Nne nikishamaliza kupigachini pisi zote sasa huyo nilie bakisha nataka nipeleke barua kwao wakuu naoa naomba nioe sasa nikae na wife nitulie niangalie maisha mengine wakuu naomba mniombee sana kwahilo naimani sasa hata mamaangu ata furah sana kwani nimuda amekuwa akitamani kumpelekea mkwe na nioe.

Mwisho nawashukuru kwa kunisikiliza mnisamehe na uandishiwangu mbovu lakini nahtaji mniombee sana kwani nnaloenda kulifanya siojambo dogo kiukweli shetani ameshanitumia vyakutosha sasa bhas inatosha wakuu.

Lakini kikubwa kama kunaushauri najua hamuwez kukosa ushauri wa kunipa pia wakuu nawakaribisha sana niko tayari kupokea

Mwenyezi mungu awabariki sana [emoji120][emoji120]
Nitakuombea lakini tukubaliane kwanza..
Mkuu hujafika chuo tusidanganyane..
Kama ni veta usione aibu na isiongeze dhambi ya uongo😂😂😂
 
Kwa huo uandishi na umesema ulipita chuo hata tukikuombea maombi hayatofika.

Pili umeandika kama umefumaniwa,

na mwisho kabisa usitushukuru kwa kukusikiliza, Kwani umesimulia kwa mdomo au maandishi?

Case closed.
 
Mkuu nimezichakata sana ila sijaona chaziada nikujialibia tu life mkuu wangu acha bhana
Unafeli sana mdogo wangu. Wewe pumzika tu kwa sasa, najua utarudi tu. Nakutia moyo kaa chini utafakari raha ulizokuwa unapata ulipokuwa unazichakata. Maisha bila mbususu ni kujitesa
 
Yaani kuna ex wangu anataka kuolewa sasa namwambia kabla ya kuolewa nataka niichakate mbususu yake kwanza ndio aolewe. Kumbuka huyu ex nimekuwa nae tokea yupo 17’s
Huyo hawezi kuchomoa

Mwambie unataka kupasha kiporo mjikumbushie

Na akikubali mpelekee moto haswa
 
Nitakuombea lakini tukubaliane kwanza..
Mkuu hujafika chuo tusidanganyane..
Kama ni veta usione aibu na isiongeze dhambi ya uongo[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapana sijafanikiwa kwenda shule kbsa mkuu hapo vip ?

Haya uniombee kiongoz
 
Kwa huo uandishi na umesema ulipita chuo hata tukikuombea maombi hayatofika.

Pili umeandika kama umefumaniwa,

na mwisho kabisa usitushukuru kwa kukusikiliza, Kwani umesimulia kwa mdomo au maandishi?

Case closed.

Shukrani mkuu nimekuelewa
 
Tafuta uzi unaohusiana na maswala ya uzinzi huku JF kuna watu wameshusha madini sana jay-millions na wengineo sikumbuki, pia pitia uzi wa Nyenyere utapata madini sana kwenye uzi wake wa “ijue siri ya mahusiano katika ulimwengu wa roho"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom