PreGE2025 MNEC Ussi: Lissu asitugawe sote ni Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote atakaye thubutu kuharibu amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ussi ameyasema hayo leo Machi 22, 2025, alipokuwa akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, akiwa katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wasira ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuimarisha uhai wa Chama.

Mpumbavu mmoja ili aonekane ameongea kwenye maiki.
 
MNEC Ussi bhana!!!!🤣🤣🤣🤣
 
Vipi je tukubali Watanzania tugawanywe na Makala Magawanya Wantanzania?
 
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote atakaye thubutu kuharibu amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ussi ameyasema hayo leo Machi 22, 2025, alipokuwa akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, akiwa katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wasira ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuimarisha uhai wa Chama.

Aiende zake huko. Wazanzibar ndiyo wametubagua sisi, siku nyingi sana.
 
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote atakaye thubutu kuharibu amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ussi ameyasema hayo leo Machi 22, 2025, alipokuwa akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, akiwa katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wasira ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuimarisha uhai wa Chama.

Kama wote ni watanzania kwanini Zanzibar wana serikali Yao kwanini wanaruhusiwa kuwa na ardhi bara lakini sisi haturuhusiwa kuwa na ardhi Zanzibar kwanini wananufaika na ajira za Tanganyika wakati sisi hatunufaiki Zanzibar?
 
Hivi huyu mnec si yule aliekuwa kwenye mkutano flani wa ccm huko zenji akimsingizia mwenzake shoga analiwa?
 
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote atakaye thubutu kuharibu amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ussi ameyasema hayo leo Machi 22, 2025, alipokuwa akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, akiwa katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wasira ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuimarisha uhai wa Chama.

Very stupid and foolish boy....

Yaani badala ya kujibu hoja za CHADEMA zinazochagizwa na kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION yeye anashambulia personality ya mtu aitwaye Tundu Lissu...

Tundu Lissu anaweza vipi kuja huko CCM na kuwagawa...?

Agenda ya NO REFORMS, NO ELECTION ni agenda yenye lengo la kulinda amani na kujenga mshikamano ndani ya taifa...

Maana tukipata mabadiliko ya kikatiba, kisheria, kikanuni na taratibu ili kuruhusu chaguzi za HURU, za HAKI, za WAZI zenye kuipa thamani na kuheshimu kura ya kila mpiga kura, zenye kuhakikisha kura za watu wote zinahesabiwa na kuhesabika hapo tunakuwa tunalinda amani ya taifa hili...

Lakini kwa mwenendo huu wa sasa kwa vyombo vya usalama kama Polisi, TISS na JWTZ kwa maagizo ya viongozi wa CCM na serikali kushiriki kuhujumu chaguzi na kura za wananchi wanapokuwa wamechagua viongozi wao, basi ni wazi kuwa Kuna siku wananchi watasema HAPANA, tumechoka...!
 
Back
Top Bottom