Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Mbona sisi hatupo Mnazi Mmoja?
Ilhali wenzetu wapo Tahrir?
tupo huku
Na huku.......
wewe na Ivuga munahoja, lakini mumepinda sana.
hii kitu ya mkomboti imenivunja mbavu.
ngoja ni log-out.
Umeona hali ya familia yake huko nyuma yake? wataweza mabomu ya machozi hawa?
Too weak and poor. Bomu moja la Anden;ngenye linawasambaratisha wooote
mkuu sema hawa hawajawa exposed tu bado i mean hawajui haki zao bado wao wanafikiri kuishi vile na kuwa na nguo moja ndio haki yao na wanavyopigwa picha wanamuona mpiga picha kama mtu mwingine kabisa i mean next level,but kiukweeli ni kuwa hawa haki yao wamenyimwa
Kwa hali hii kweli labda tutashtuka, lakini aliyeko kimanzichana haoni hali hii. loh!