Mnayasababisha wenyewe... acheni chokochoko

Mnayasababisha wenyewe... acheni chokochoko

Pazuri Sana Umu Naile Stori Ukitaka Kumwona Mwanamke Utaye Muowa Kwa Kuweka Mishuma Usiku Wa Saa6 Na Kioo Na Kukiangalia Kwamuda Atajitokeza Kwa Kioo , Mna Ionaje Njia Mbadala Hiyo
Mnatakiwa Mchague Sehemu Yaku Jenga Na Kuharibu Mambo Ni Hapo Pakuowa,
Ndo Mana Saivi Watu Wanatakiwa Kuwa Makin Sana Mana Ukijikoroga Tu Una Ambulia Koo Zenye Uchawi Mikosi Wakorofi
Na Mara Nying Sana Mtoto Huuchukuaga Sana Upande Wamama Msije Mkaharibu Na Mfumo Mzima Wa New Good Life Likawa Problem Life
Tu Angalie Sana Kwa Kuowa Mana Kuna Tiahuruma, Kwingne, Mifano Ipo,
 
Back
Top Bottom