Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?
Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...