Mnayajua Makubaliano ya Nyerere na Muzungu?

endeleeni kumchezea baba yenu MUZUNGU, muda sio mrefu huyo jamaa wa magogoni atapata multiple organs failures
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
Acha kumfananisha nyerere na hawa kima watu....nakumbuka enzi zile tulisoma na kulishwa vema na Mwl
 
Kama nyerere alipewa uhuru kiurahisi namna ile. basi sisi bado tunaendelea kutawaliwa.
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
Kwa ushauri wako tuache waendelee kuchukua madini yetu au
 
Mwalimu alikuta Mkoloni ana share 50%/50% na wkampuni ya Almasi ya Wiliamson Mwadui akakomaa nao na yeye kuhakikisha Tanzania inabaki na hiyo hiyo 50% ya mapato hadi anaondoka aliacha. Alijenga pia kiwanda cha kukata Almasi hapa nchini (TANZANIA DIAMOND CUTTING COMPANY LIMITED (TANNCUT). Hivyo si kweli unayoyasema kwa upande mining soma sheria ya mwaka 73 from NDC to STAMICO
 
Acha kumfananisha nyerere na hawa kima watu....nakumbuka enzi zile tulisoma na kulishwa vema na Mwl

Watoto wangapi walikuwa wanasoma enzi za Nyerere? Kumbukumbu yangu inaniambia Dar kulikuwa na Shule 7 tu za Serikali na kati ya hizo hatujujenga hata moja zote tulitaifisha ktk kwa Wahindi na Taasisi za kidini, mimi nilikwenda Shuleni kwa zamu, wiki hii asubuhi wiki ile mchana!

Usisahau tulikula unga wa njano aka unga wa Yanga ktk USA!
 
Acha kumfananisha nyerere na hawa kima watu....nakumbuka enzi zile tulisoma na kulishwa vema na Mwl

Love is blind wanasema Wazungu, siku ikija kujulikana kwamba haya yote yanatokea kwa sababu ya makubaliano aliyoingia Nyerere utasema nini? Usishawishike kirahisi namna hiyo na Binadamu, wewe Nyerere haumjui zaidi ya kupata tu information ambazo ziko programmed hata hivyo!
 
Love is blind wanasema Wazungu, siku ikija kujulikana kwamba haya yote yanatokea kwa sababu ya makubaliano aliyoingia Nyerere utasema nini? Usishawishike kirahisi namna na Binadamu, wewe Nyerere haumjui zaidi ya kupata tu information ambazo ziko programmed hata hivyo!
Hahaha love is blind!
 
Back
Top Bottom