Mnayajua Makubaliano ya Nyerere na Muzungu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
 
Hivi lile katazo lenu la kuwataja marais wastaafu kuwahusisha na madini ni kwa Kikwete na Mkapa tuu? Mbona wengine mnawataja? Au kuna kitu hamtaki kije kusemwa kwa hao wawili?
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
Afadhari yy Alibaba mgodi mmoja tu,nyie yote mmeuza hadi mchanga
 
Mhh Hakuna anayehoji? Hujawahi kusikia kua wale wanao hoji wakiitwa wachochezi, wapinzani, wapinga kila kitu etc .

Kwa nielewavyo mimi wasio hoji ni wale wanaonufaika na uchimbaji huo.
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
Tangu useme Airforce one ndio ndege kubwa kuliko zote duniani sikuamini tena makinikia.
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...

Unajua ulivaa nguo za rangi gani leo.

Jiangalie soon tutakupeleka Milembe
 
Duuh hii mada kama mzaha vile lakini inabidi nisiipuuzie kirahisi ...unaweza kudhani mleta mada ni chizi kumbe ameleta kitu cha kufikirisha kidogo. Na sijui lengo lake ni nini?
 
Baba yako kama alifanikiwa kujenga nyumba kolomije haimaniishi watoto wake hawaruhusiwi kuishi masaki.

Issue hapa nikuja na mikakati yetu mipya ya kujikwamua.
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
Unataka kutuambia inawezekana alichofanya Acacia ni part of that agreement !? Kama kungekuwa na agreement kama hiyo Mwalimu asinge behave the way he did during the years of his presidency.This is absurd.
 
Nchi yetu ilipewa huu unaoitwa uhuru mwaka 1961, na aliyepewa ni Kiongozi wa kwanza wa nchi yetu na makabidhiano yalifanyika Uingereza, sasa mnajua Nyerere alisaini nini?

Izingatiwe kwamba hatukupata Uhuru kwa kuuchukuwa kwa nguvu bali tulipewa kwa hiari ina maana ni lazima kulikuwa na masharti ambayo Viongozi wetu waliyakubali kwanza, hivyo hamuwezi kujua Nyerere alikubaliana nini na Muzungu, kwa mfano nchi za Afrika Magharibi bado zinailipa nchi ya Ufaransa kwa uwekezaji nchi hiyo iliyofanya wkt wa Ukoloni, hata Nigeria ndiyo maana Mafuta yote waliwapa Uingereza kuyachimba, na aliyemsapoti Dikteta Sani Abacha ni huyo huo Muzungu, hata hapa kwetu Muzungu anachimba Almasi tangu enzi za Ukoloni mpaka leo hii na hkn anayehoji chochote, hata Nyerere mwenyewe hakuhoji,...
Watu wenye mawazo kama yenu mnastahili kunyo #&%$*@ ngwa!
 
Kama Nyerere hakuikomboa nchi na rasilimali zake, hakuna haja ya kumwita Baba wa taifa.
 
Back
Top Bottom