dallaz28
Member
- Aug 25, 2016
- 14
- 16
Habari wana JF mimi nina miezi yapata saba sasa tangu niwe mbali na mpenzi wangu na mpaka sasa sijafanya mapenzi ndani ya hiyo miezi niliyotaja ila napata wakati mgumu sana kwani nina ugwadu hatari nikiona hata kuku mtaani wamedandiana mimi dushelele inasimama sasa mnisaidie nyie mliwezaje kuicontrol hii hali ninapata shida sana alafu kuna kibek tatu pale ninapoishi wakati nafika nilikuwa nakiona kibaya hakina mvuto ila sasa kinanitamanisha sana nakiona kama Lulu wa Bongo movie...Hapa niko dukani najishauri ninunue condom yaani najipa mawazo nifike nikiite chumbani nipige hata kimoja maana nina nyege sana hatari naweza kubaka hata kuku...Naomba ushauri ndugu hapa nifanyaje au njia gani nitumie
