PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Usafi tu ndio la msingi lakini bado ndo vyoo vya kisasa mpaka leo. Huwa naenda na smart phone nachart huku nakata gogoKwakweli vinachosha sana hasa unapokuta ni vyoo vya public! Siwezi kukalisha kwakeli!
labda kiwe Choo changu peke yangu na wife huko rum kwetu.Mmh vile mi siwez tumia asee, kila mtu anakaa halaf na mm nije nikae, never
Ukishusha mzigo maji yanakurukia wewe swaaaafi kabisa.Usafi tu ndio la msingi lakini bado ndo vyoo vya kisasa mpaka leo. Huwa naenda na smart phone nachart huku nakata gogo
Nyumbani kwako?!Siku hizi vipo vya kulala.
FaizaFoxy siku hizi umekuwa mtu wa kawaida sana hadi naanza kukupenda isijekuwa ID yako imevamiwa!Siku hizi vipo vya kulala.
alafu unaweza kukuta hakikaliwi kabisa coz kila mtu anasema kama weweMmh vile mi siwez tumia asee, kila mtu anakaa halaf na mm nije nikae, never
Sory mkuu wewe niwa mkoani eee!!!any way binafsi watu tunatofautiana!!kama mimi cha kuchuchumaa sikipendi hadi nimeweka kwangu natumia hikisijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
hata kama kikiwa cha kukaa mi lazima nichuchumae