Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,258
Huu ugonjwa usikie tu.... mimi ulimkuta kaka yangu nikawa namcheka na kumshangaa eti anashindwa kunywa maji na kula vizuri.
Ukiona mtu kaugua huu ugonjwa kwanza kichwa hakina balance maana muda wote anaskia baridi sio baridi..ukakasi sio ukakasi.
Basi bwana ukanikuta miaka hiyo...ule ugonjwa hapana. Kwanza kila jamii ina namna yake ya kuutibu. Bibi akaniambia ukitaka upone basi asubuhi kabla haujasalimiana na mtu toka tafuta mti fulani.
Ukifika chukua jiwe lenga mti kisha useme mti chukua ugonjwa wako. Rudi ukikimbia hadi nyumbani bila kugeuka nyuma.
Nimeukumbuka tu huu ugonjwa. Watalaam nao wanasema ukiupata huu ugonjwa basi asilimia za wewe kuwa rijali ni nyingi saana.