Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
NACTE mmetupa majibu bila ya uthibitisho chuoni (confirmation) sasa tuwaelewe vipi mana hatujui hatima yetu hadi Lini Mana Nimeenda chuo kuchukua Admission latter nimeambiwa hatukutambui jina lako halipo. Daah mwenye kujua zaidi kuhusu hili tupeane ushauri...!!