Kuna mtu kaanzisha uzi anasema Bashir Al-Assad wa Syria hajakimbia Syria kwa kushindwa vita, ameamua tu kuiepusha nchi isiingie katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Baada ya kuiingiza Syria kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka 13!
Yani angekuwa anatetea CCM tungesema labda analipwa, kumtetea Assad kwa uongo huu ni uongo wa tabia tu hata si wa kulipwa.