englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Unauliza nini wakati unamajibu ? sisi tuna majibu lakini wewe hutaki kutu uliza maswali.
lakini mkuu, ukimtazama vema utaona kuwa mzee wa mnato anazo nywele (tena ras). Sa sijui shida i wapi kwa upande wake.