Naomba ufafanuzi juu ya hili,hivi nyie wanawake wa jf mnataka mapenzi au pesa,nashangaa hamueleweki.
nyie wanaume wa jf mnataka mapenzi au mnataka kuchunwa. maana hamueleweki. utasikia ''nina nyumba mbili, akaunti tatu za benk n.k wakati hamna alokuuliza
Naomba ufafanuzi juu ya hili,hivi nyie wanawake wa jf mnataka mapenzi au pesa,nashangaa hamueleweki.
umeshajaribu kuwapa vyote, mapenzi na pesa?