Mnataka haki sawa au tufanane haki ?

Kisai

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
28,183
28,371
Haki sawa kwa wote ni jambo linalopigiwa upatu sana,mpaka wengine wakafika mbali kupiga kura za veto.

Huwa nahisi kama vile tatizo ni la kubananga lugha na sura ya mtu tuambiwe si mtu ni mbuzi huyu.

Wanawake wamekuwa wadhaifu sana mpaka kufikia hatua ya kutokuzijua haki zao ni zipi na vipi watazijua haki zao. Tatizo ni kukubali hatima zao kuwaachia waoigaji wachache tena wenye tamaa na waharibifu wa mfano wao.

Leo hii imekuwa ni gaki sawa mwanamke kufanya yale ayafanyayo mwanaume na kuminyana kuw kama yeye au zaidi yake.

Sitaki kusema mengi. Ila nina maswali macheche kama si moja kwa wanawake,hasa wale wajiitao wanaharakati.

1. Hivi huwa wanatumia vigezo gani kutambua usawa wa haki ?

2. Hivi mimi kupata moja na wewe mtoto wa kike kupata moja ndio haki sawa au kufanana kwa haki ?

Nilitamani mada hii niiweke kwenye jukwaa la Hoja na habari mchanganyiko au kule kwa wajiitao wafikiriaji wakuu,nikahisi kama mada itachelewa kuwafikia walengwa.

Waswahili husema "Ukitaka kuruka,hakikisha umeagana na nyonga". Au kama walivyosema Waswahili.
 
Halikadhalika wewe ni wa kike,uwanja wa kwenu huu,huwezi jua ipo siku mnaweza kuwa kama sisi.

Kwanini mnaoenda kufanana na sisi ?

Basi tu wengi wetu kujifanya nasisi tumesoma so tunajua haki zetu ila in real sense kamwe haitowezekana




cc Smart911
 
Basi tu wengi wetu kujifanya nasisi tumesoma so tunajua haki zetu ila in real sense kamwe haitowezekana




cc Smart911


Umesema ukweli,kukubali ukweli ni kukaribia ushindi na kuutangaza ukweli ni ushindi uliotukuka.

Nakuomba uwe unautangaza ukweli ili na wale wanaojisahaulisha waujue.
 
Back
Top Bottom