Nimeshafahamu sasa kwamba watu wanapigania kwenda bungeni, kaisi cha kuondoana uhai, wengi wao ni kwa malengo binafsi. Kulinda malahi yao, kuinfluence na kuhakikisha wananufaika na si kutatua wala kulinda maslahi ya taifa ama watu wasiowahusu.
BUNGE=PBC (Private Business Company). Otherwise, hayo mengine ni historia, wewe omba Mungu alinde familia yako wapate mkate wa kula, lakini hakuna wawakilishi wala watetezi wa watu wa kawaida kule.