Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Apr 10, 2011 #1 Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA!
Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA!
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Apr 11, 2011 #3 hyo inaeleweka kama yanga kiboko yao
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Apr 11, 2011 #4 Jaguarpaw said: Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA! Click to expand... Peleka upuuzi wako huko!!!!
Jaguarpaw said: Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA! Click to expand... Peleka upuuzi wako huko!!!!
Najijua JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,040 Reaction score 182 Apr 11, 2011 #5 wape wape vidonge vya wakimeza wakitema shauri zao
Ernie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2010 Posts 217 Reaction score 29 Apr 11, 2011 #6 Utakuwa umekalia kichwa wewe si bure, sasa khanga na ushindi wapi na wapi?
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,489 Apr 11, 2011 #7 heri mimi sijasema manake hawa jamaa wana hasira huwa hawapendi kabisa kuambiwa ukweli. Mara ohhh mmebebwa na refa, mara ohh mliwahonga toto.
heri mimi sijasema manake hawa jamaa wana hasira huwa hawapendi kabisa kuambiwa ukweli. Mara ohhh mmebebwa na refa, mara ohh mliwahonga toto.
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Apr 11, 2011 #8 Ernie said: Utakuwa umekalia kichwa wewe si bure, sasa khanga na ushindi wapi na wapi? Click to expand... Hahahaa kichwa kidogo eehe!:smile-big:
Ernie said: Utakuwa umekalia kichwa wewe si bure, sasa khanga na ushindi wapi na wapi? Click to expand... Hahahaa kichwa kidogo eehe!:smile-big:
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Apr 11, 2011 Thread starter #9 Kunta Kinte said: Peleka upuuzi wako huko!!!! Click to expand... Wapi,msimbazi kwa wapuuzi wanaostahili upuuzi?
Kunta Kinte said: Peleka upuuzi wako huko!!!! Click to expand... Wapi,msimbazi kwa wapuuzi wanaostahili upuuzi?
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Apr 11, 2011 #10 Mpira wa kibongo bwana bingwa mpaka aijivue gamba!!
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Apr 12, 2011 #11 Jaguarpaw said: Wapi,msimbazi kwa wapuuzi wanaostahili upuuzi? Click to expand... Jangwani kwa wanaomtetemekea *********!
Jaguarpaw said: Wapi,msimbazi kwa wapuuzi wanaostahili upuuzi? Click to expand... Jangwani kwa wanaomtetemekea *********!