BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,001
Niwaulizeni wadada,hivi mnaringia nini? Kuna binti mmoja mrembo sana nimekutana naye wiki moja iliyopita kwa bahati nzuri tuliweza kufahamiana na hatimaye tulibadilishana namba za simu.
Baada ya kuwasiliana siku kadhaa tuliweza kutoka out mida ya jioni,tuliweza kupata chakula cha jioni pamoja na hatimaye tukapata vinywaji yeye alikuwa anakunywa Bavaria na mimi nikawa natupia nyangu vya kibabe vya siku zote.
Baada ya siku mbili kupita,binti aliaanza kuniltea nyodo,nikimpigia simu hapokei,hajibu sms kwa wakati yani ni hali ambayo ni tofauti kabisa ambapo hakunifanyia hata kabla hatujatoka out, sasa nimejiuliza, alikuwa ananiigiza?
Je, kumtoa out kumepelekea abadilike hivyo?Ni siku mbili sasa zimepita hatujawasiliana. Na mbaya zaidi mazingira yangu ya kazi ninayofanya hupelekea kukutana naye mara kwa mara.Je,nikikutana naye nimuulize kuhusu hiyo tabia yake au nimpotezeee niongee naye tu mengine? Maana siwezi kumuepuka.