Mnapovaa g string za mademu zenu muwe makini jamani....

Thong yake mwenyewe hiyo!
ipo embroidered na imeandikwa:
I love bad boys kwa mbele.
 
Umejuaje ni ya dem wake na cyo yake??hawa mashoga wa miaka hii tabu kweli...
 
Huyo nikusudio lake kutembea kistyle hizo za kishoga.
 
Hapana hyo g si ya mkewe.
Kuna g-string za kiume,zipo nyingi tu mbona?
Hata ma-Boutique zipo.
 
Hapana hyo g si ya mkewe.
Kuna g-string za kiume,zipo nyingi tu mbona?
Hata ma-Boutique zipo.
hizo za wanaume ni za kuwasaidia kupwiu au?hizi fasheni hizi nahisi sasa dunia inazungukia kurudi nyuma na ndio maana mambo ya siku hizi yanaenda kinyume nyume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…