Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Hakuna cha Kariakoo au Bariakoo.. Tunswali kwa vipindi na hapo tulipo wakati ukiwadia TunaSQimu SWALA !! iwe barabarani au ktk mvua au jua..Hata tukiwa New York au Parioss au Popote SWALA laima litimie..Allah katupa RUHUSA na Hakuna Nyani ayyte atakaae Stopisha !! PINGA/PINGENII !!!!We utakuwa mgeni wa Kariakoo. Huwa wanaamua tu na kuanza sala zao
Rudi ndani ya madaNa nyinyi acheni kutafunwa na wachungaji wenu,mnakera sana tena mnatutia aibu madume wenzenu
Asante bosi umeniwakilisha vyema.Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Ukiona hivyo ujue watu wengi ikiwemo na wakristo wanahama dini zao nakuiingia ktk uislam kla kukcha na ndio maana mishiki haitoshi watu wanaingia kwenye uislam kla kukcha kwa hvyo hata waksema wabomoe waongeze ukubwa wamsikiti baada ya mwaka utakuwa hautosh tena kwa idad ya watu wanaoingia katka uislam na uzur Wa uislam unaruhusu MTU kufanya ibada popote iwe barabaran, porin, uwanjani, kwenye gar, nakwengineko ilmrad kuwe safi na toharaHili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Nina hakika wewe jamaa utakuwa unamkalia Mwanaume mwenzio, kwa Mwanaume rijali hawezi kuimba taarabu za Khadija Kopa kama wewe ulivyotoa povu hapa kujifananisha na Khadija mipashoHao watu Akili zao zinaishia hapo tu. Hawana ziada ya kuhamisha majengo yao wala kupanua huduma za Ibaada.
Ukiwaeleza watakujibu ovyo!!! Mungu wao yuko hivyo hana njia mbadala.
Usiombe ujenge 100meter jirani yao, watakufanya kiziwi na mjiga kwa kukuamusha kwa makelele.
Ni karne hii ambapo huwezi tumia technologia ya mawsiliano Kisa Mungu wao anataka Noise.
Huu ni Ugonjwa mbaya sana, unafanya watu wawe nusu irrational (opium of the people .. Karl Max), sio ajabu kujenga vikanisa, vimisikiti mpaka hata petrol station. Sasa watalazimisha Makoroboi, kariakoo ni sehemu za Ibaada.
Nadhani viongozi wao wana hitaji namna nyingine ya kuona mambo na kupisha ustawi wa jamii kwa manufaa ya jamii na sio kwa manufaa ya Kadini fulani. Raisi Mulika hako kaeneo.
Wewe ni Hizbu au Chotara? Hii nchi haina Dini lakini Watu wake wana Dini na kuna wasio na Dini... sasa dii yako isiwe kero na kama wewe binafsi ukiigeuza kero sidhani hata huyo unayemuabudu atakuelewa...rudi kwenu porini, mbona mnawasumbua wenye mji.
agrey, kipata, Lind, Manyema... Na kote huko ni kero kila Ijumaa, Ila kwa tulio zoea tupo poaKariakoo ni kubwa sana, be specific ni mtaa upi??
Kwa mtu mwenye busara na hekima zake kabisa kabisa waswahili ni watu wa kuwavumilia sana otherwise mtapigana, kuna ile njia ya akachube yan hawa jamaa mtu anaamka anaamua kufunga bara bara wanaudhi sana kwa kweli, sio issue ya kuwa na udin, me naamin hata waislamu wenyewe huwa wengine wanakereka, sababu mtu unakuwa umeshaacha njia kuu unafika karibia na mwisho njia wamefunga hata kuweka kibao huku mwanzon hakuna, uswahili, uswahili hatuwez kuendelea kwa namna hii, ukisema utaambiwa we mdini, tubadilike jamani.
Frendin Take it easy..hata kama unamkana mwenzio ..ila kasema kweli..Lakini hata wenzetu waKristo wakiswali au kuhubiri popote..Siye hatuta MIND ni jambo la mkusanyiko wa jamii kusikiliza na ku Kuishi na wenzao kwa amani..acha zako wewe sio mkristo