Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Jumamosi njema, eti jamani ni vizuri iweje pale mnapofanya tendo la ndoa ,kuwepo taa inawaka au kiza ? Au kamuwangaza dhaifu na kama kuna mziki au bila ya mziki na kama ni mchana inapendeza kuwacha madilisha wazi au itakubidi ufunge ,yote tisa kama mko maporini ni bora kwenye majani au kwenye mchanga ,yaani yote hayo ni kutaka kunogesha ,hivi mna ushauri gani ?
nauliza tu !:A S-eek:
nauliza tu !:A S-eek: