Mimi huyu hapa .......
![]()
![]()
mwanaume anaenyoa style ya o napenda sana
Unajua maana yake? Wanasema kila style ina maana yake.
Inasemekana,nijuze basi mi napenda inaongeza nakshi
hahahaha huna o basi tena
Haya bana .......
Kwahiyo ndio nimekosa?
Ndevu zina raha yake,ule muda wa kukiss shingo raha utamu...
HaswaaaaaaaKama za Rick Ross eti!!!!?
Sipendi mwanaume mwenye mindevu kabisaaaa
Ndevu zina raha yake,ule muda wa kukiss shingo raha utamu...